LGRND® Studio's profile

Briston Decoration®

Re-Branding Briston Decoration®
[ENG]
Briston Decoration is a retail & wholesale hardware and home decoration company that struggles to gain new clients through social media and other digital platforms. Despite offering high-quality services, the company lacked a distinctive brand identity that set them apart from their competitors. As a result, the company faced challenges in attracting and retaining customers, leading to a decline in revenue. The top management recognized the need to establish a lasting digital footprint and decided to undertake a comprehensive re-branding of the company.

Outcome
Within the first six months, we saw improvements—a 12% increase in brand recognition and a 5.6% increase in the overall company's revenue. To further the impact of the project, the studio continuously evaluates and improves the brand identity; As the market and customer preferences tend to evolve, they also advise on the important ways to evaluate customer feedback, foster a customer-centric culture, invest in content marketing, and explore new digital channels such as websites.



[SW]
Briston Decoration ni kampuni jumla na rejareja inayojihusisha na uuzaji wa bidhaa za ujenzi na mapambo ya kufanisi ujenzi wa ndani (vifaa vya finishing). Kwa muda mrefu wao kama kampuni wamepata changamoto ya kupata wateja wapya hasa kupitia mitandao ya kijamii licha ya kuwa na huduma na bidhaa bora, walipitia pia changamoto ya ukuaji kwa sababu walikosa taswira timilifu iliyoweza kuwatofautisha wao na wauzaji wengine wa bidhaa sawasawa. Kwa mantiki hio walishindwa kupata wateja wapya mfululizo kitu ambacho kilisimamisha ukuaji wa kampuni na fedha kiujumla.
Menejimenti ya kampuni iliona ni muda sahihi wa wao kuingia katika zama hii ya kidijitali kwa lengo la kujenga taswira mpya ili kuweza kuikuza kampuni, kuikwamua kwa maendeleo ya kifedha na kupata wateja wapya kwa njia za mitandao ya kijamii. 

Matokeo
Baada ya miezi sita ya kwanza tuliweza kushuhudia maendeleo chanya ya kazi tuliofanya, kulikua na ukuwaji kwenye utambuzi wa chapa na taswira ya kampuni kwa ujumla wa asilimia 12 na ongezeko la pato la kampuni kwa asilimia 5.6
Kuhahaikisha maendeleo haya yanakua tuliendelea kuboresha mapungufu yaliyojitokeza ndani ya chapa ili kulingana na matakwa ya wateja husika, pia tulitoa ushauri wa jinsi gani ya kufanya matangazo katika mitandao ya kijamii ili kuweza kufikia watu wengi vilevile tuliwakazania kwa namna gani bora ya kuweza kutanguliza matakwa ya wateja mbele na huduma bora ili kuwekeza katika taswira njema ya kampuni miongoni mwa wateja waliowahudumia.



Client — Briston Decoration Co. Ltd
Year — 2021
Creative Art Direction — Erick Hubert
Brand Identity — Erick Hubert
Printing & Design — Dickson Mjaya
Studio — LGRND® Studio
Stylescape Design
[EN]
To come under one roof together we created two stylscapes with a huge differentiation factor inorder to set the tone and directon of which the brand will go ahead with, Together we choose stylescape one (Vibrant, Friendly & Acceptable)
Typically, Stylescapes are highly curated collection of “found” images from the internet that gives you a high glance of the direction in which the brand will be heading. That way, its easy to know if we miss the mark early, so we can make adjustments before committing to the final design phase.

[SW]
Ili kufikia lengo moja tulitengeneza mfano wa taswira za chapa mbili tofauti zenye hisia tofauti kwa ajili ya kuweka makubaliano ni taswira ya namna gani chapa yetu itafwata. Taswira hizi hutengenzwa kwa kukusanya picha zenye kuleta hisia zenye mfanano mmoja katika sehemu tofauti tofauti kama vile mabango, vielezo vya njia, kadi za mawasiliano (Business card) n.k na hivi vyote huwekwa katika mfumo wa rangi moja au mbili zitakazowasilisha chapa husika, hivyo kumrahisishia mteja ni taswira gani atapendelea zaidi ili tusitoke nje ya njia tulioichagua.   


[EN]
The search for aesthetic and functional solutions was the aim for the brand, Together we opted for a totally geometric and minimalist symbol that was derived from a top down view of a dis-integrated home roof then using the golden ratio scale we put together the logo and type in a good alignment that accompanied the construction of the visual brand identity. The we added a fresh color palette that differentiates itself from the direct competition by taking a leap and positioning itself as a leading brand.


[SW]
Lengo kuu la chapa ilikua ni kuweza kutengeneza muonekano mzuri wa kuvutia na suluhisho zenye tija ya kukuza biashara kwa ujumla. Pamoja tulikaa na kukubaliana juu ya nembo ilitoholewa kutoka kwa maumbo ya kijiometria ambayo maumbo hayo yalitoholewa kutoka kwenye picha ya muonekano wa juu wa paa la nyumba lililonyambuliwa/ kutengwa katika vipande tofauti kisha tukaweka usawa/uwiano kati ya nembo na jina la nembo kwa kutumia mizani ya Golden ratio" . Baada ya hapo pia tulichagua rangi zilizoweza kuweka utofauti bayana na wafanya biashara wengine walioko katika kundi moja sawasawa na soko la chapa husika.

[EN]
Brand application is simply the rollout of your brand on all of your marketing materials and customer touchpoints. Interacting with consumers through a consistent brand voice and aesthetic is a major step towards letting consumers get to know you as an organization. Consistency across all your different brand applications means your brand feels more dependable. When starting to get to know your brand, customers develop opinions, ideas, and assumptions based on each interaction.

[SW]
Kuonesha uhalisia wa chapa na nembo ya kampuni katika maisha halisia ni namna moja ya kuwezesha kampuni kujenga uthabiti wa namna chapa itakavoweza kuzungumza na kuchangamana wateja wake, Pia kuwapa fursa wateja kuweza kuwajua wao kama kampuni na chapa fulani na kipi wanakisimamia na kutekeleza kwao na kwa jamii kiujumla.
Mfanano/uhuwiano katika chapa ni muhimu sana, kwani huhimasisha uaminifu na kujenga tabiasili ya namna chapa inataka kutasfiriwa na wateja wake.



Let's work together - lgrndstudio@gmail.com
Follow us on: Instagram Dribbble | LinkedIn
Briston Decoration®
Published:

Owner

Briston Decoration®

Briston Decoration Co. Ltd is a wholesale hardware decoration store with the aim of serving the middle and low-income with house decor and buildi Read More

Published: